HABARIKA NASI KIPITIA

twitter

Mama Mzazi wa msanii Albert Kenneth Mangwair, Bi Denisia Mangwair akiwa na simanzi msibani leo.Dada wa marehemu, 
Magreth Mangwair, naye akiwa na majonzi ya kuondokewa na kaka yake.
Ndugu na jamaa wakimfariji mama Mangwair.
NI simanzi na majonzi kutoka nyumbani kwa Mama Mzazi wa msanii Albert Kenneth Mangwair, Bi Denisia Mangwair (63) maeneo ya Kihonda ‘Mazimbu Road’ mkoani Morogoro ulipo msiba wa msanii huyo. Msibani hapo pia alikuwepo dada yake marehemu, Magreth Mangwair ambaye alikuwa na majonzi kwa kuondokewa na kaka yake mpendwa.

SOURCE: GPL


LIKE PAGE YETU HAPA ILI UWEZE KUPATA HABARI ZETU KUPITIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK KILA SIKU.
LIKE PAGE YETU ILI UPATE HABARI ZAIDI